Usagara...ni jina la watu tayarUSAGARA PETROL STATION,au fanya kifupi Your petrol station ...wakazi wa mwa usagara na haice zote zitakuwa na kuja hapo.au MSukuma petrol station,Siri mojaa nikuibie jina sio sababu ya kufanya sheli yako iwe juu,hapo uko chimbo nzuri sana Tena daraja likijengwa utapiga hela Ni kiama sheik.wateke boda boda,haice zote kwa offer nzuri kwamba kila gari likija Kuna commission au part of oil au service Kama pancha ..watapata bure kwa mda ujenge jina
Chagua majina unayopenda kama 3,Wadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
Majina yako yote yamesimama.■ Oildrop Filling station
■ Lakezone Filling station
■ safiri/safari filling station
■ Rush Filling Station
■ Speed Filling Station
■ NorthOil Filling Station
■ Jake Filling Station
■ Onedrop Filling Station
■ SafiOil Filling Station
■ SkyOil Filling Station
■ Sadan Petrol Station
■ OilTank or PureOil or OilBox
■ Oil-Shot, Oil-Point, FastOil
Au Susu petrol stationkutokana na ilo jina lako la mwisho
Nyamsusa basi toa sehemu ya jina lako yaaani
SUSA PETROL STATION