Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

Wadau habarini.

Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.

Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.

Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.

Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.

Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
BN filling station or western filling station
 
ZERO Petrol station, PAI Petrol station, ZAMU Petrol station.

Chagua moja hapo mkuu
 
Kwanza kuna vitu viwili vya kuzingatia wakati wakubrand kituo chako nadhani cha kwanza ni jina na pili ni rangi utakayotumia kwenye kituo chako.

kwa haraka haraka mimi naanza na rangi utakazotumia ambapo nitapendekeza utumie rangi mbili blue & white kituo chote kiwe kwa rangi ya blue maandishi na logo za kituo ziwe nyeupe.

udisign uweke yale maandishi 3d na jina la kituo chako nadhani ungekiita BLUE OCEAN nimependa utumie ocean kwasababu bidhaa unayouza ni ya kimiminika kwa hiyo hii ocean si maji bali ni "mafuta".

BLUE OCEAN PETROL STATION na logo ya kituo chako iwe ya ubunifu anaweza akawa hata ndege au mnyama utaekaa juu ya hilo jina la kituo chako,ni maswala ya ubunifu tu.
 
Asante kwa mchango wako japo rangi tumetumia silver /grey tumechanganya na red.
 
kama unatamani/kupenda jina lililokaa ki magari magari na ki mafuta mafuta ambalo sio gum hata kwa watani wangu wa kanda hiyo kulitamka na lililobeba ujumbe nyuma yake kwa mawazo yangu jaribu kulishot list nahil WISH OIL, au WISH PETROL STATION
 
Victoria petrol station
Tanganyika petrol station
Sato petrol station
Pure oil petrol station
Gulf petrol station
Stone petrol station (stone city)
high land petrol station
one petrol station
 
Back
Top Bottom