Natafuta jina la huu wimbo mzuri

Gepard

JF-Expert Member
Feb 8, 2021
291
385
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri.

Hints;
1) Ndani kashirikishwa Juma nature.
2) Huo wimbo ni mpya.
3) Ni dizaini ya nyimbo Kama za kina C Bella.
4) Baadhi ya maneno huko ndani- - Kiitikio anaimbaa kitaa lelele×2

Kuna mda anataja macelebrities wa bongo. Mfano anasema "Hamisa mobeto hajui kuimba kafanya kolabo na Bella".
mitandaoni sijaupata maana sina taarifa nyingi.

Please nahitaji kujua jina la wimbo.
 
Ngoja waje wataalamu, utaupata. Ningejua jina lake tu, ninge upload dakika sio nyingi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom