Natafuta jimama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta jimama

Discussion in 'Love Connect' started by Jenseny, Nov 17, 2011.

 1. Jenseny

  Jenseny JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 951
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Me mvulana nina miaka 22 nasoma IT hapa UDSM natafuta jimama/jidada lenye umri 25-50 kwa mawasiliano +255658825141
   
 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  hujatulia wewe jensen, tulia pia kaa usome, yaelekea una matatizo ya kisaikolojia, nakushauri wafuate wataalam wakusaidie, kumbuka mimama ya siku izi inaowa pia kuwaweka vijana ndani, zaidi unajiandalia maradhi ili uifedheheshe familia yako, nyie ndo mnaliaibisha Taifa, pia kameron wa uk anajua mpo na anawasaka, natumai keshakupigia simu privately mmeelewana, dah we dogo acha izo
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,520
  Likes Received: 2,440
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu.

  Kwanza kabisa nakuonea huruma, badala ya kuwaza masomo we unawaza majimama. Nyie ndio ambao huwa mnakuwa mashoga. Jitume wewe, acha uvivu.
   
 4. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  uyu dogo lazima atakuwa ana mfadhaiko wa mapenzi, pia atakuwa amelelewa / amekulia kwa dada ke anayeishi mumewe, mwanangu... ikifika mida ya usiku lazima alikuwa akitafakari sana aswa mda ukifika shemeji ye akimkokota dadake wakielekea room kulala, duh lazima ataangaika kufuta jidada/ Jimama, pole wewe tafuta pia zingatia elimu kwanza.
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jimama na Jidada unataka kulelewa au ushazowea mifuso wewe? we mtoto huogopi mama wa mwenzio akikuvulia nguo?
   
 6. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 2,978
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Kwa kuwa unayataka mwenyewe we nenda pale mango garden siku twanga wakipiga pale fweza yako tu utawapata kibao.
  Angalizo:ukimwi upo na unawamaliza kwelikweli.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mzee! Hivi sometimes nawe unatoa ushauri mzuri.
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  JIBABA HAuLITAKI?
   
Loading...