Natafuta isuzu journey kubwa yenye hali nzuri isizidi miaka 3 ya dala dala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta isuzu journey kubwa yenye hali nzuri isizidi miaka 3 ya dala dala

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Silicon Valley, May 22, 2012.

 1. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Jamani kwa yeyote anayejuwa natafuta isuzu journey kubwa iliyo kwenye hali nzuri aidha ni dala dala au sio waweza tuma meseji au piga simu 0754 646827 bei ya kununua itategemea hali ya gari na DCM nzuri pia naweza fikiria
   
 2. freemoney

  freemoney Senior Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii....... ipo isuzu journey ipo kwenye hali nzuri ni tz BEZ 29 passengers. bei ni 23m
   
Loading...