Natafuta Internship

lorah95

New Member
Jul 1, 2016
3
0
Natafta internship nasoma bachelor degree in CD with bias in participatory project planning and management, kwa yyt mwenye connection
 
Nimesikitishwa na jinsi watu wenye ofisi, companies, orgs wanavyofannya ukiritimba kwa watoto wanaotafuta internships. Wanangu walikuja last year kutafuta intern, sisemi wapi ila ilichukua uamuzi wa watu karibu 5 kumkubali mwanangu na kilichosaidia ni sababu cousin wake ni mkurugenzi pale. Hakuhitaji nauli, allowance wala chakula just kiti cha kukalia na kazi basi. Kamaliza first degree yake na sasa amealikwa kwenye internship NY na kupewa nyumba sababu wanajua kwa muda wa miaka mitatu alifanya nao wakati wa internship aliweza kuattract wateja kibao na watamlipa wakati wanaangalia kama wamwajiri. Angebaki TZ angesaidia kitengo alichokifanyia kwa bure kwa sababu alikuwa tayari lakini anaogopa mabarua na vikao vya kumkubali. ndo maana tutabaki nyuma. Watu wetu hatuwathamini. Watoto wanamaliza vyuo hawapewi nafasi kujaribu bila malipo.
 
Nami nimepanga kuwafuata huko huko oficn maana nmechoka kutuma maombi ya intern na volunteer.[/QUOTEHH=
  1. Hakisha unaenda mwenyewe ofisini na paper zako toka college yako na kuwaelezea kuwa huitaji hata cent moja ila ujuzi basi. Ni Tanzania tu ambapo watu wanakataliwa kujitolea wakati nchi kama marekani mtu ukijitolea unapewa mpaka cheti cha kumbukumbu na kuthaminiwa. Nilirudi na zawadi na vyetu kaba mpaka pick na Bloomberg sababu ya kujitolea kwenye nursing homes NY. Picha yangu iliwekwa kwenye hallway hapa unaonekana kituko.
 
Back
Top Bottom