Bachelor degree in CD, huku mtaani kwetu CD ni ChanguDoa sijui wewe ulimaanisha niniNatafta internship nasoma bachelor degree in CD with bias in participatory project planning and management, kwa yyt mwenye connection
ha ha ha.we mtu unanichekeshaga sana kwa kweli.i wish siku moja to meet uYani intership inaombwa kizembezembe namna hiyo?pathetic
Nami nimepanga kuwafuata huko huko oficn maana nmechoka kutuma maombi ya intern na volunteer.[/QUOTEHH=
- Hakisha unaenda mwenyewe ofisini na paper zako toka college yako na kuwaelezea kuwa huitaji hata cent moja ila ujuzi basi. Ni Tanzania tu ambapo watu wanakataliwa kujitolea wakati nchi kama marekani mtu ukijitolea unapewa mpaka cheti cha kumbukumbu na kuthaminiwa. Nilirudi na zawadi na vyetu kaba mpaka pick na Bloomberg sababu ya kujitolea kwenye nursing homes NY. Picha yangu iliwekwa kwenye hallway hapa unaonekana kituko.