Natafuta Incubator ya kukodi ndogo mayai 100-200 au ya kununua

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Wandugu kama kuna mwenye kujua incubator za kukodi au kununua ndogo za matumizi ya kawaida nnyumbani ani-PIM please. Natanguliza shukurani.
 
Mkuu kuna kampuni moja ya kenya wanazo nzuri sana kama vipi nikutafutie contact zao ucheki nao.
 
Wandugu kama kuna mwenye kujua incubator za kukodi au kununua ndogo za matumizi ya kawaida nnyumbani ani-PIM please. Natanguliza shukurani.

Prof. kwa kiwango hicho, Imberuzi Small itakuwa muafaka. It can hatch up to 250 eggs, na inauzwa dola 1000. Hii ni made in Tanzania, na huyu innovator anapatikana SIDO. Kwa picha na maelezo zaidi watembelee hapa . Na kwa mawasiliano zaidi piga +255 755 722447 au + 255 719 932550
 
mbona ghali ukitaka ya mayai 48, kwa dola 400. naweza kukufiia haraka tu
 
Back
Top Bottom