Natafuta huduma ya vifungashio vya kisasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta huduma ya vifungashio vya kisasa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mtotigite, Nov 5, 2009.

 1. M

  Mtotigite Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mimi ni mjasiriamali mdogo kwa sasa ninahitaji kufungasha bidhaa zangu kwa vifungashio vya kisasa (export quality) na kuuza bidhaa zangu kwenye supermarkert au kusafirisha kwenda nje naomba kama kuna mwana JF anayejua mahali napoweza pata huduma ya vifungashio vya kisasa tuwasiliane kupitia hapa. au nipigie 0784876210
   
 2. Kivuko

  Kivuko Member

  #2
  Nov 6, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bidhaa za aina gani?please PM me with details i might be of help.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tanzania Bureau of Standard [TBS] kwa ushirikiano na serikali ya Ujerumani wamefungua maabara ya kisasa, kusaidia wajasiriamali jinsi ya kufunga bidhaa zao kwa kufuata standard za kimataifa. Pia watakufamisha ni wapi utazipa vifungasho.

  SIDO pia wanatoa huduma hizo na mara nyingi wanawasaidia wafanyabiashara kuangiza vifungasho toka nje inapobidi.
   
 4. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #4
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Mtotigite,

  Wasiliana na 0767988173
   
 5. A

  AM_07 Member

  #5
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  watch out!, kama unapeleka nje wao ndio wanadictate ain aya vifungashio, na pia inategemea aina ya produce, kuna nyingine itabidi mtengenezaji wa vifungashio awe na ISO standard, kwa kuanzia check na customer/retailer wako anatakapackaging gani, na wengi wao wanatoa toa packaging zao maana wanataka kupunguza double packaging na pia kukabiliana na green supply chain, recycable policy, so have a detailed study, i can give some help if you wish. but its good business pull up your sox
   
 6. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Nadhani Bakhresa anafanya, ingawa nadhani mteja wake mkubwa ni yeye mwenyewe.

  http://www.bakhresa.com/bakhresa-group/group-companies-list.php
  Kong'oli kwenye link ya Omar Packaging.

  Kusema ukweli mimi ningependa kufanya hiyo biashara ya ku-export. Ila approach yangu ingekuwa kupackage kwenye kitu kama polythene bag hapo Tanzania, then ku-repackage tena huku, main reason ni kitu alichosema AM_07.
  Sababu nyingine ni Health & Safety issues. Kuna vyakula nimenunua vya kibongo viko packaged vimeletwa huku, lakini unaweza kutana na mchanga au mkaa kwenye begi. Wakati ukinunua vitu vya kama Thailand, hukuti uzembe huo. Unless unasimamia wewe packaging, kumtegemea mtu mwingine anaweza asijali afya wakati wa packaging, then unaharibu biashara.
   
Loading...