Natafuta huduma ya Satellite Internet

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,140
Habari za humu wadau,

Ninatafuta ISP ambaye anaweza kutoa huduma ya internet kwa njia ya satellite.

Tafadhali kama kuna mtu anaweza nisaidia humu itakuwa vizuri pia maswali yafuatayo:

1. Je dish ambalo akifunga nitaweza kumove nalo kutoka mahali alipofungia?

2. Je ninaweza kumove nalo pia outside the country nchi kama Kenya, Rwanda au Congo?

3. Je gharama zake zipoje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumove una move ila lazima likasetiwe tena ata kama ni sm 10. Kuhusu kufanya kazi hasa Afrika masharki kwa uwelewa wangu kuhusu satelit dish itafanya kazi sawa na ulipo tz sema kikubwa uwe na fundi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za humu wadau,

Ninatafuta ISP ambaye anaweza kutoa huduma ya internet kwa njia ya satellite.

Tafadhali kama kuna mtu anaweza nisaidia humu itakuwa vizuri pia maswali yafuatayo:

1. Je dish ambalo akifunga nitaweza kumove nalo kutoka mahali alipofungia?

2. Je ninaweza kumove nalo pia outside the country nchi kama Kenya, Rwanda au Congo?

3. Je gharama zake zipoje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama wadau walivyosema dish linamove

Na satelite zinakuwa na kitu wanaita beam, ni coverage ambayo hio satelite inatoa, hivyo kwa nchi tunazopakana nazo mfano Rwanda, Congo, Uganda, Kenya etc unategemea same provider awe anacover zote, ila Nchi za mbali inawezekana zisiwe na coverage za huyo Isp.

Pitia hapa kuwaona isp wa satelite

Na bei ni ndefu kidogo jiandae dola 100 kupanda kwa mwezi.
 
Chief.....
Nimeku-PM mzeee

Samahani wakuu huu ni wa mda kidogo ilà naomba kuuliza dish lenyewe kufungiwa linagharimu Tsh ngapi kabla ya malipo kwa mwezi
 
Dishi inategemea na kampuni husika vifaa vyao wanauzaje, ila ki kawaida concept yake haitofautiani na Dishi la nyumbani sana.

Wengine installation fee inakuwa ni bure kabisa. Hivyo unaweza wasiliana na kampuni husika.
 
Ahsante mkuu kwa majibu mrua
 
Back
Top Bottom