Natafuta Huawei Mobile Parner inayoweza kupiga na kupokea simu

yeah! kuna mtu anaitengeza hiyo site itakuwa huwani mda si mrefu

okay , kwani nami pia nina E303 unlocked, sema nataka kuitoa hiyo dashboard iliyomo na kuweka itakayosupport calling
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom