Nahitaji Howo tipa used

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,390
Habari wadau,

Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha zake whatsapp pekee 0755963775.

Ikiwa namba D itapendeza zaidi.

KIMOMWEMOTORS
 
Kama unayo hiyo gari fanya kunicheki basi tumalize kazi
 
Wakuu hata kama gari yako unaona thamani yake ni juu kidogo ya 60M fanya kunicheki. Bado gari mbili kikubwa gari iwe nzima kwelikweli ikapige kazi
 
Habari ya muda huu wakuu, ninahitaji gari aina ya Howo tipper kwa ajili ya kununua.

Ziwe ni 6×4 yaani 10 tyres, ziwe katika hali nzuri ya kuingia kazini, Zikiwa namba D itapendeza zaidi japo hata C tutaizingatia pia ikiwepo Dar itapendeza zaid.

Kama unazo hizo gari au una connection tafadhali nicheki hapa JF au kwa WhatsApp 0755963775 uje na offer yako inayoendana na hali halisi.
 
30446403-C4CF-4463-B7C5-8D3AE4C69631.jpeg
Kuna hii ndio imeingia hata usajili bado, 110m, ila ni 4 x 8
 
Habari wakuu, nahitaji gari kwa ajili ya kununua.
😇Iwe 114 horsepower kuanzia 340
😇Iwe Tipa
😇Iwe na ekseli 4 yaani 8×4(mende)
😇Iwe namba C au D
😇Ikiwa Dar itakua vizuri zaidi ili kurahisisha ukaguzi
😇OFFER YETU HAIZIDI MILION 55
Kama unayo hiyo gari nitumie picha zake whatsapp 0755963775
 
Back
Top Bottom