Natafuta house girl

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,743
4,227
Wadau kama mada inavosomeka hapo juu, nahitaji msichana wa kazi popote pale, nina familia ya mke na mtoto mmoja, nipo Dar. Popote alipo hata km ni mkoani nitatuma nauli, mazingira ya kazi ni mazuri na ya upendo wa Ki-Mungu.
# yangu ni 0714010511.
 
Kuna dada humu anatafuta hiyo kazi.. hebu pekua vizuri.. jukwaa hili hili
 
ingekua ujaoa ningekubali
ila wake bana wanaonaga tunachepuka

Sawa bwana
Bado natafuta jamani sijampata anaenifaa, I need her to be party of my family, wale waliopo mikoani ndio safi zaidi
 
Sawa bwana
Bado natafuta jamani sijampata anaenifaa, I need her to be party of my family, wale waliopo mikoani ndio safi zaidi

mi mwenyewe nipo mkoani
tatizo ni mke wako

embu kwanza nikuulize utamlipa shingapi ukimpata?????
uwenda nikakutafutia mtu
 
mi mwenyewe nipo mkoani
tatizo ni mke wako

embu kwanza nikuulize utamlipa shingapi ukimpata?????
uwenda nikakutafutia mtu

Nitamlipa 40-50, huduma zote kwangu, nipigie kwa number hiyo tuongee, au text
 
Nitamlipa 40-50, huduma zote kwangu, nipigie kwa number hiyo tuongee, au text

wewe unamtaka wa umri gani???
eka kila kitu hapo bana ili nikikupigia unanielekeza kwako....watotowapo tatizo hamui wa wazi

40_50 ndo mchezo gani sema kama 40 au 50 sasa hataueleweki

muwe wa wazi ili wadada wajue maana hiyoo ni kazi kama kazi zingine
 
Utamgharamia Kila Kitu?....Kama Vipi?
Boss Gan Unakuwa Mvivu Kujielezea
Part of your family? Ndo yaleyale Ya Kutosana Mishahara!..maana Utamfanya Kama Part of your family, wakati yeye yuko kikazi!
Kwa Huo Mshahara Wako!..Bado Sana...
Ukizingatia Haujaainisha Kumgharamia Kwa Kila Kitu Kivipi?
-Bata Na Starehe Za Hapa Na Pale
-Matibabu
-chakula
-Mavazi
-Vipodozi Na Vifaa vya Usafi Mwili
-Safari Kuona Ndugu Na Marafiki
-Kulala Na Kuamka
-Rikizo
Pia Kuna Mahausgel Wako Na Ndoa Na Family Zao!..Nao Unawahitaji?
Kuwa Muwazi Basi...Weka Na Mipaka Yako Ya Kazi
Mambo Ya Kuwekwa Uyaya Kwa Kamshahara Hako!!...Utayapata Ya Uganda Ndugu!!
Ahsante Jigo
 
Nami niunge mkono kuwa alete sifa za mtu anayemhitaji,ila pia naomba nikushauri kama una mcha Mungu kuwa hako kamshahara ni kadogo jamani,futa mfumo wa kuwatumikisha wenzenu miaka nenda rud hawafanikiw kisa mshahara mdogo,at least laki 1 utanpm nikutafutie
 
Wadau kama mada inavosomeka hapo juu, nahitaji msichana wa kazi popote pale, nina familia ya mke na mtoto mmoja, nipo Dar. Popote alipo hata km ni mkoani nitatuma nauli, mazingira ya kazi ni mazuri na ya upendo wa Ki-Mungu.
# yangu ni 0714010511.

huyo mke kafariki lini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom