Natafuta Hotuba za Marais Wetu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli: Zinapatikana wapi mtandaoni?

Mama Amon

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
2,021
2,478
Bakari.png


Wadau,

Salaams.

Huku kwetu Sumbawanga ni kwenye periferi.

Magazeti hufika siku ya tatu.

Ni tofauti nanyi mlioko mikoa ya kosmopilitani.

Hata hotuba za wakubwa tunazisoma siku ya tatu.

Kwa hiyo nilitaka nijisomee kwa kina kupitia mitandao ya serikali kama vile tovuti ya Ikulu na EGA. Kuna taarifa chache sana.

Hata hotuba ya Rais ya juzi wakati anahutubia SADC haijawekwa. Kwa ujumla hotuba za Marais wetu wote kuzipata ni shida.

Zinapatikana wapi?

Naomba msaada.

Mama Amon.

Sumbawanga.


.
EGA functions.png
Tovuti ya Ikulu.png
 

Attachments

  • Dr. Jabiri Kuwe Bakari--Presentation.pdf
    868 KB · Views: 11
Back
Top Bottom