Christopher Haule 255
Member
- Mar 10, 2021
- 22
- 26
Habari za muda huu wanajamvi Naitwa Christopher Haule natokea Morogoro kwa sasa Nipo Dar nimemaliza Diploma ya Clinical medicine (Utabibu) Mkoani Ruvuma mwaka 2020 natafuta hospitali yoyote ya kujitolea bila malipo yoyote kwa ajili ya kupata uzoefu zaidi
Ndani ya Dar es Salaam au Morogoro kwa yeyote mwenye Connection naomba mnisaidie kwa hilo.
Nawatakia mapambano mema.
Contact: 0622974013
Email: christopherhaule88@gmail.com
Ndani ya Dar es Salaam au Morogoro kwa yeyote mwenye Connection naomba mnisaidie kwa hilo.
Nawatakia mapambano mema.
Contact: 0622974013
Email: christopherhaule88@gmail.com