Natafuta Hospitali ya kujitoleaa kama Clinical Officer (Tabibu)

Mar 10, 2021
22
26
Habari za muda huu wanajamvi Naitwa Christopher Haule natokea Morogoro kwa sasa Nipo Dar nimemaliza Diploma ya Clinical medicine (Utabibu) Mkoani Ruvuma mwaka 2020 natafuta hospitali yoyote ya kujitolea bila malipo yoyote kwa ajili ya kupata uzoefu zaidi
Ndani ya Dar es Salaam au Morogoro kwa yeyote mwenye Connection naomba mnisaidie kwa hilo.

Nawatakia mapambano mema.

Contact: 0622974013

Email: christopherhaule88@gmail.com
 
Ndugu unacheti? Maana usije ukawa mganga feki baada ya kupata ma sup huko ulikotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom