Natafuta home theater mbovu

kelphin

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
9,010
14,292
Wakuu salaam!

Kwa yeyote mwenye home theater mbovu, iliyoungu haiwaki, hauna kabisa mpango wakuilekebisha, hata Kama imeshatolewa circuit zake za ndani, yaani kifupi bovu bovu tu ninahitaji.

Utanipa Bei yako, tukikubaliana unaniuzia, Ila speaker zake na housing viwepo, remote Sina shida nayo.
 
Nina lg tweeter speakers nne zile za kusimama nzima kabisa pige 0714 513414 kama utazitaka
Wakuu salaam!

Kwayeyote mwenye home theater mbovu,iliyoungu haiwaki,hauna kabisa mpango wakuilekebisha ,hata Kama imeshatolewa circuit zake za ndani ,yaani kifupi bovu bovu tu nnahitaji
Utanipa Bei yako ,tukikubaliana unaniuzia,Ila speaker zake na housing viwepo,remote Sina shida nayo
..
 
Ninayo sony ht wt 1000 ile ya malaysia. Njoo pm tuyapange.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom