Bongo utapata tu hata za kichina tafuta hapa dar wapo dealer kibaona mimi nitazipata hizo pesa nkimaliza kazi yangu ya Ukarani wa sensa 😀😀
Kwani wewe ni UVCcm ?na mimi nitazipata hizo pesa nkimaliza kazi yangu ya Ukarani wa sensa 😀😀
sh ngapiBongo utapata tu hata za kichina tafuta hapa dar wapo dealer kibao
na mimi nitazipata hizo pesa nkimaliza kazi yangu ya Ukarani wa sensa
Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania. View attachment 2301477