Natafuta Hili game

Mr Computer

Member
Jan 20, 2021
9
4
Habari zenu wadau
Kuna game la kivita nalitafuta lakini kibaya nikwamba silijui jina ila naamini humu kuna watu watalijua tu.

Liko hivi
shooter yuko kwenye helcopter juu(haitembei) chini kuna wanajeshi wanakuja na magari na vifaru kisha ww ndo una shoot,pia kuna mission zingine ni usiku na zingine za kushoot ndege

Game hilo nililiona mwaka 2012 kwenye PC ya mwalimu wangu hivyo hata sikumbuki jina lake.

Natanguliza shukran.
 
Mtafute mwalimu wako
 
Game linaitwa IG Project

1615554700624.png
 
Labda ni Call of duty Morden warfare 4 kuna hiyo gameplay pia.
Game lina gb3 kwa fitgirl cracks.
 
Habari zenu wadau
Kuna game la kivita nalitafuta lakini kibaya nikwamba silijui jina ila naamini humu kuna watu watalijua tu.

Liko hivi
shooter yuko kwenye helcopter juu(haitembei) chini kuna wanajeshi wanakuja na magari na vifaru kisha ww ndo una shoot,pia kuna mission zingine ni usiku na zingine za kushoot ndege

Game hilo nililiona mwaka 2012 kwenye PC ya mwalimu wangu hivyo hata sikumbuki jina lake.

Natanguliza shukran.
Kama bado haujapata unaweza google maelezo yako google itakupa possibilities na utaipata
 
Call of duty modern war fare , ipo mission inaana na helicopter unalipua magari wanajeshi pamoja na vifaru halafu baadae mnashuka kuanza kushambulia kambi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom