Natafuta hii movie

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,140
2,000
Habari waungwana wa JF.
Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa.

Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na niliiona vipande tu na nimekuwa naitafuta kwa mda mrefu bira mafanikio ngoja niielezee labda huenda kuna wakali humu Jf, wanaweza nisaidia pa kuipata.

Movie ilikuwa ya katoto kadogo kanakotambaa ambako wezi watatu walienda kukaiba kwenye nyumba ya tajiri furani ili wapige pesa walipo kafikisha geto kale katoto kakawatoloka na kukimbilia kwenye ZOO (mbuga za wanyama) mpaka kuna kishikaji kilipigwa kwenzi la mkono na golila aliyekuwa mle kwenye ZOO kisa alikuwa anakavuta katoto kamba za viatu.

Kwa atakaye ielewa movie hii naomba anisaidie jina lake au wapi pa kuidownload.

Natanguliza shukurani.
 

RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,964
2,000
Baby day out. (1994)
Screenshot_20210611-200452.png
 

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,140
2,000
H
Umekua mdau mzur wakucheki movie tangu vidudu afu hiyo baby's day out hujawah kuiona kweltafuta nyingne inaitwa home alone huenda nayo hujaiona
Hahahaha, home alone nisha iona mkuu sema kitambo sana kama 2013 kama sikusahau
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom