natafuta haya mafuta

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,677
12,344
yanapatina maduka gani na bei zake
nataka niyatumie kwa ajili ya miguu na mikono coz nina ngoz kavu sehemu hizo na pia dark spot kidogo
pia kama mtu umetumia nitashukuru ukinipa feedback
 

Attachments

  • IMG_20190530_140722_143.jpg
    IMG_20190530_140722_143.jpg
    34.9 KB · Views: 100
Usoni unapaka nini madame
uso una mafuta na miguu ni mikavu
so vya kupaka usoni ni tofauti na miguu
uson..natumia nitrogena soap
tona ni nitrogena pia ya ngoz ya mafuta
na mafuta ni jelly ya white and soft ya kukausha chunus na mafuta
miguuni ndo sina
 
Huwa natumia feet up foot cream ya Oriflame but recently nimekutana na moja ya bei rahisi nilipokosa feet up...naona iko poa..yenyewe ni both hand and foot cream. Najitahidi nikuwekee na picha yake
nisajestie moja dia wangu
 
Huwa natumia feet up foot cream ya Oriflame but recently nimekutana na moja ya bei rahisi nilipokosa feet up...naona iko poa..yenyewe ni both hand and foot cream. Najitahidi nikuwekee na picha yake
asante.
nasubiri picha
 
Si far mimi naona yamenikubali...ngozi yangu ya miguu ni kavu so inaniondolea ukavu...and also i love the waay it smells. But feet up foot cream is so much better.
thankx mamiloo
yanafanya ngozi kuwa nzuri eeh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom