Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

Ninyi wanaume!!! Nendeni polepole. Wapo wanawake ukichumbia tu umekeenda!!. Wengi wapo wana mapepo (jini mahaba). Dada jichunguze usijeongera makaburi kwa wenzio. Maombi ni muhimu kabla hujachukua hatua ya kumkubali ntu.
 
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..

Ushapata?
 
we mdada kama upo tayar kusahau maumivu uliyonayo bas tumia namba hii npo serious si utan(0716824062)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom