Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

picha kwanzaa!!

Mbona matangazo yenu yanamapungufu sana picha mbona hamuweki
weka picha tukuone
ulivyo wengine wanakuwaga mazombi

]Next tme weka picha [/COLOR]na cheti cha angaza uone watu wanavyokuchapukia faster faster

woman-lonely-450ll-010909.jpg
 
Ni jambo la kuumiza kuliko kumpoteza life mate...however fantasy words nitatumia haiwezi kupoteza maana halisi ya maumivu ya kumpoteza umpendae! Back to a point,inatakiwa kutulia hasa once unapokuwa ni victim maana unaweza kuishia pabaya badala ya kupaja what you call faraja!...Hawa hit and run wapo wengi tu..tena serious kuliko walinzi wa mataifa makubwa duniani...ni alert tu!
 
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..

Weka picha.
 
Lengo lenu mnakuja na id 2-2 ili baadae mpate mwanya wa kuanzisha vi topic vyenu vya kipuuzi sijui jf wate ni wazee sijui wanapenda mimama yanye sukari na upuuzi km huo mwingiii
 
Kwa nini mnatanguliza utani jamani? Mimi siwaelewi kabisa! Mdada yuko serious mnamfanyia dhihaka kwanini? Kabla hujapost ni bora ukasoma kwanza post yako kama itaweza kutatua tatizo la member mwenzako.

Usidhani wote wanaopost humu wanatania.
 
pole sana kwa kufiwa (R.I.P) usifanye maamuzi ukiwa desperate, you need to approach the game slowly and patiently, I am sure utampata utakaye mfaa na yeye kukufaa (mfaane!) hata humu jf wapo wamesha tangaza nia, hahahahaha, kazi kwako
 

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom