mwakibete jr
Member
- Dec 13, 2013
- 6
- 1
am Here for u
picha kwanzaa!!
Mbona matangazo yenu yanamapungufu sana picha mbona hamuweki
weka picha tukuone ulivyo wengine wanakuwaga mazombi
]Next tme weka picha [/COLOR]na cheti cha angaza uone watu wanavyokuchapukia faster faster
Kigezo muhimu awe na mkia mbele
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..
PM tupo wanaume wa ukweli ila vigezo hujaweka.