Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..
PM tupo wanaume wa ukweli ila vigezo hujaweka.
humu kuna vijana watundu sana nimemuitia hii ni shughuli ndogo sanaUme sound so desperate..........Pole