Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa..

Picha yako tafadhari na namba yako ya simu navihitaji haraka sana kama inawezekana.

Tatizo ulilonalo, ndilo nililonalo!
 
Picha yako tafadhari na namba yako ya simu navihitaji haraka sana kama inawezekana.

Tatizo ulilonalo, ndilo nililonalo!

heee!

Kwa hiyo na wewe unahitaji boyfriend?

That means ninyi nyote ni wanawake,

sasa huu si ndo mwanzo wa kwenda kusagana kama mashine ya mahindi!!?

Hetile!
 
Duh humu ni wakwareee sana...watu wasione kichaka tu..wanabanwa kunya
 
Unatafuta boyfnd wa mda gani mapenz ya hasa Hv yapo kidgitali zaid . me nipo tayari ila sikuoi na sio zaid ya mwaka mmoja ..

Mashart na vigezo vingine utakavyovipa kama ukin pm vitazingatiwa..tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom