mwalimsheli
Member
- Sep 15, 2016
- 24
- 7
IPO sehemu gan hii?Nilifikia hapa,shukrani kwa aliyenielekeza,kwa kweli ni nyumba bora ya kulala wageni.View attachment 1109630
Lakini bei ni Tsh.25,000 na si 15,000.
IPO sehemu gan hii?Nilifikia hapa,shukrani kwa aliyenielekeza,kwa kweli ni nyumba bora ya kulala wageni.View attachment 1109630
Lakini bei ni Tsh.25,000 na si 15,000.
Naona watu wanakupoteza hapa. Kuna fact zifuatazo unatakiwa uzijue kuhusu Dodoma;
1. Stand ilipo hakuna guest hata moja iko nje ya mji.
2. Kutoka stand ilipo kwenda mjini katikati ni umbali wa dak 30 hadi 45 kwa daladala za kawaida.
Hivyo kwa maana hiyo mtu akikutajia guest ambayo iko karibu na stand anakudanganya.
Unachotakiwa kufanya. Ukifika stand kuu Dodoma waambie wakushushe mjini (Makole au CBE, ukishashushwa hapo kuna ofisi nyingi za mabasi ya kwenda Mwanza ambayo asubuhi hata usipoenda stnd kuu unaweza pandia hapo, watakupa maelekezo.
Pia hapo hapo maeneo hayo luna guest nyingi sana ambazo zitakuwa za karibu na bei yeyote utakayotaka.
Angalizo: maeneo haya pia ndio Bunge lipo, so kunauwezekano pamejaa sana lakini ukifika mapema ni rahisi kupata sehemu nzuri na ya na ya bei unayotaka wewe.
Ukiona hivo jua ni mji mdogo sana na unajaa kwa msimu, wawekezaji wanaogopa biashara ya msimundio yaliyonikuta, saa 2 usiku nilitembea lodge kama 7 zote zimejaa, mji huu sijui unajazwa na watu gani
Mkuu Dodoma mjini kuna Guest houses na lodges nyingi sana tena sana, na zinajaa mapema.Ukiona hivo jua ni mji mdogo sana na unajaa kwa msimu, wawekezaji wanaogopa biashara ya msimu
HahahaaaUkiona hivo jua ni mji mdogo sana na unajaa kwa msimu, wawekezaji wanaogopa biashara ya msimu
Hii bado ipo? Enzi hizo tulicheza disco toto siku za skukuu, miaka hiyo ya 93&94Fanya booking NAAM Hotel iko Area C - 0625657927
Ipo Moja ni mpya maeneo ya hazina jirani na ukumbi w Roma inaitwa Omax lodge ni nzuri Tena budget yako inatuhusuHabari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza. Hivyo nitapumzika hapo mjini angalau kwa usiku mmoja kwa ajili ya kutalii kidogo kisha nitaendelea na safari.
Sasa naomba kujulishwa jina na mahali ambapo naweza kupata chumba cha kulala kwa bei ya 10,000-20,000 karibu na stendi kuu na usalama uwe wa uhakika.
Pia,pawe na utulivu na pasiwe na wanawake wa kujiuza.
Wenyeji wa Dodoma msaada tafadhali.
Ipo Moja ni mpya maeneo ya hazina jirani na ukumbi w Roma inaitwa Omax lodge ni nzuri Tena budget yako inatuhusu
Nimelala hapo sio muda, vipi wewe upo mitaa hiyo..Ipo Moja ni mpya maeneo ya hazina jirani na ukumbi w Roma inaitwa Omax lodge ni nzuri Tena budget yako inatuhusu