Natafuta girlfriend

Swager

Member
Sep 14, 2011
55
9
Awe dar pia awe cngo age 18 mpka 22..mapenz mazito ntampa my no 0656 40 47 21 awe mwaminifu cjali dini,
 
uko serious kweli,tusije anguka tena maana tulisha tendwa wengine.

End of commercial break.

Una umri gani?
 
Mmmh....mapenzi mazito? Haya bana ngoja waje. BTW, je ni sifa zipi ulizo nazo wewe ambazo zitamfanya huyo unaemtafuta avutiwe na wewe na hatimae kukupenda??
 
mwana,mademu wote humu tumeshawagawana gawana so kila mtu ana wake.
angalia usishobokee mke wangu haki ya mungu tutaonana wabaya.ulitakiwa ujiunge na mwenzio jf.kama vp nitumie crdt nikugawie ma xg.mia
 
mweh! Kenzio kamekuja kutafuta greti thinka alaf we unataka kukatoa baru..lol! Kwani we huachiki na wenzio wakapata?
 
Sema wazi wa nini
part time
permanent
fasta
to refresh

tuangalie tutakusaidiaje uwezi sema unajua nimechanganyikiwa lazima useme wapi maana hata kichwa kidogo kule kinachanganyikiwa ga ndio maana watu awakai na ndoa zao eleza usaidike
karibu kijana
 
mweh! Kenzio kamekuja kutafuta greti thinka alaf we unataka kukatoa baru..lol! Kwani we huachiki na wenzio wakapata?
huwa siachi.nampa likizo isiyo na malipo na ole wake nikute kasimama na mtu kwenye mazingira ya kutatanisha.mia
 
huwa siachi.nampa likizo isiyo na malipo na ole wake nikute kasimama na mtu kwenye mazingira ya kutatanisha.mia

we jidai kudictate sasa hivi cku wakipatikana waoaji nakwambia utaachwa mbonaaaa!! Na huo wivu wako wakufata adi njiani utajikuta unaachia mwenyewe kwa hiari yako!
 
Awe dar pia awe cngo age 18 mpka 22..mapenz mazito ntampa my no 0656 40 47 21 awe mwaminifu cjali dini,
<br />
<br />
Threads zako zinamizaha sana! NENDA JUKWAA LA LOVE CONNECTION AU FACEBOOK.
 
Duuh mshkaji kaja kujitafutia mchuuchuu, nadhani aliambiwa Jf kuna vimwana vipotabo teh teh teh
 
mambo ni maumbile wacha cngo wadunde, speedometer yao miaka 15----35 ikifika juu shombo laaanza, wakati ni huu, tumia muda wenu vizuri. ujana ni mali chunga sana haupatikani tenaaaaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom