Natafuta girlfriend ambaye atakuwa mchumba na kuwa mke....

Simcaesor

Senior Member
Jul 15, 2011
111
9
Wasifu wangu
  1. rangi... mweusi
  2. uzito....70kg
  3. urefu...164cm
  4. kazi.... bado sijapata
  5. elimu.... ya chuo
  6. umri 30yrs
wasifu wa gf ninayemtaka
  • ajue kufikilia, kutafakari na atambue zuri na baya
  • aamini mungu yupo
  • umri usizidi miaka 30 usipungue 18
  • elimu form six with at least one principle au zaidi ya form six kifupi anafundishika...
  • ajue kutatua matatizo ya familia hata nikiwa mbali naye na kuchua maamuzi ya haraka, mfano mtoto anaumwa ampeleke kwanza hospital kabla ya kuanza kulia na kupiga simu ili apate matibabu mengine yafuate...
kwa aliye teyari tuwasiliane...
 
Fafanua hapo kwenye elimu,umesema chuo ni madrasa au?
Kila la kheri.
 
Fafanua hapo kwenye elimu,umesema chuo ni madrasa au?
Kila la kheri.

dhana nzima ya chuo inamaanisha universal education fikra ziko huko... ambayo always inapatikana university level katika degree ya kwanza... thanx for your wishing...
 
...ajue kutatua matatizo ya familia hata nikiwa mbali naye na kuchua maamuzi ya haraka, mfano mtoto anaumwa ampeleke kwanza hospital kabla ya kuanza kulia na kupiga simu ili apate matibabu mengine yafuate......
hili mi nina tatizo nalo,
1.kwanza hujapata hata mchumba achilia mbali mke,
2.una negative mentality kwamba hata ukipata mchumba na labda kuoana bado utakuwa kwenye shida kwahiyo kumuweka mkeo majaribuni kutatua matatizo kama ya mtoto kivyake.
 
dhana nzima ya chuo inamaanisha universal education fikra ziko huko... ambayo always inapatikana university level katika degree ya kwanza... thanx for your wishing...

Nimekuelewa mkubwa.Na tambua kuwa nia yangu ilikuwa kukusaidia watu wakuelewe kwani ukisema chuo ni too vague na hukuwa umesema kama umefanya bachelor.
Nadhani wahusika watachangamkia tenda.
Ubarikiwe.
 
weka email adress yako then ntakuchek kama unamvuto ndo niseme kitu,poa bt kupiga sm mtoto anaumwa nilazima kaa nini maana ya mume bila kushirikiana,mwanamke kudeka.
 
Wasifu wangu
  1. rangi... mweusi
  2. uzito....70kg
  3. urefu...164cm
  4. kazi.... bado sijapata
  5. elimu.... ya chuo
  6. umri 30yrs
wasifu wa gf ninayemtaka
  • ajue kufikilia, kutafakari na atambue zuri na baya
  • aamini mungu yupo
  • umri usizidi miaka 30 usipungue 18
  • elimu form six with at least one principle au zaidi ya form six kifupi anafundishika...
  • ajue kutatua matatizo ya familia hata nikiwa mbali naye na kuchua maamuzi ya haraka, mfano mtoto anaumwa ampeleke kwanza hospital kabla ya kuanza kulia na kupiga simu ili apate matibabu mengine yafuate...
kwa aliye teyari tuwasiliane...

nipo tayari ni PM
 
Ww unataka wa jf tu???!! km uko serious weka hata email huwa kuna wasio member wanapita humu,huwezi jua aliyeumbwa kwa ajili yako yupo humu au ni msomajitu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom