Natafuta Girl wa kutoka naye sikukuu hizi

Diga Diga

Senior Member
Sep 3, 2012
187
65
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-
  1. Awe mrembo na wa kuvutia
  2. Umri kati ya miaka 18 - 25
  3. Asiwe mnene wala mwembamba sana
  4. Awe tayari kupima afya kwanza
  5. Kama atafurahia na mimi nikavutiwa naye basi tunaweza kuendelea na mahusiano hata baada ya hapo
Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo vyote basi ani-pm. Kwa wengine wote nawatakia sikukuu njema na tukutane tena hapa mwakani.
 
Apime afya unataka kumfanya nini? Kwani kuspend siku hiza lazima uwe umepima duu.
 
sikukuu ya kuzaliwa kwa bwana Jesus christ?
Mungu akusamehe bure.......
Wee mwendawazimu nini? Nani alikudanganya kuwa huyo Yesu Kristo alizaliwa tarehe ya X-Mass? Wee unaweza kutuambia tarehe 25 December, 00 ilikuwa juma ngapi? Au umekaririshwa pasipo kufikiria? Nadhani kichwa chako ni cha kufugia nywele tu.
 
Bora kichwa changu nikifugie nywele kuliko kukihifadhia madudu....!!!
 
tempo tu mashart kibao, ikiwa permanent je,
na kwa taarifa yako majibu ya kipimo kikubwa ni mikezi tatu so usijisumbue kumpima mtoto wa watu bure ndani ya hiyo wiki it wont wek we jilipue tu,
 
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-

  1. Awe mrembo na wa kuvutia
  2. Umri kati ya miaka 18 - 25
  3. Asiwe mnene wala mwembamba sana
  4. Awe tayari kupima afya kwanza
  5. Kama atafurahia na mimi nikavutiwa naye basi tunaweza kuendelea na mahusiano hata baada ya hapo

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo vyote basi ani-pm. Kwa wengine wote nawatakia sikukuu njema na tukutane tena hapa mwakani.

Jamani mbona mapenzi yamekosa dhamani kiasi hiki? looh!!!!!!!! bora sisi tuliozaliwa wakati neno KUPENDA likiwa na maana.
 
Kumbe madomo zege bado wapo hata kizazi hiki.
Angalia, hatari sana kukumbatie transifoma ya umeme wenye nguvu kubwa.
 
Mie nipo tayari na vigezo ulivyotaja nakidhi,ila nawe nataka unijibu kama una vigezo vifuatavyo: 1.Uwe na mvuto,6pack ikiwemo.2.uwe una mshiko wa maana na cyo hela za mawazo 3.uwe na nyumba ya kifahari masaki,mbezi ama bahari beach.... 4.uwe tayari kuspend na mie kwa siku ulizotaja ambapo tutatravel na kufanya shopping za nguvu sehemu yoyote nitakayotaka 5.kwa kipindi chote hicho hutaruhusiwa kunigegeda.....
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-

  1. Awe mrembo na wa kuvutia
  2. Umri kati ya miaka 18 - 25
  3. Asiwe mnene wala mwembamba sana
  4. Awe tayari kupima afya kwanza
  5. Kama atafurahia na mimi nikavutiwa naye basi tunaweza kuendelea na mahusiano hata baada ya hapo

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo vyote basi ani-pm. Kwa wengine wote nawatakia sikukuu njema na tukutane tena hapa mwakani.
 
Mie nipo tayari na vigezo ulivyotaja nakidhi,ila nawe nataka unijibu kama una vigezo vifuatavyo: 1.Uwe na mvuto,6pack ikiwemo.2.uwe una mshiko wa maana na cyo hela za mawazo 3.uwe na nyumba ya kifahari masaki,mbezi ama bahari beach.... 4.uwe tayari kuspend na mie kwa siku ulizotaja ambapo tutatravel na kufanya shopping za nguvu sehemu yoyote nitakayotaka 5.kwa kipindi chote hicho hutaruhusiwa kunigegeda.....
Utabaki hivyo hivyo hadi mwisho wa dunia. Wee unaona maisha ni kuwa na nyumba Masaki, Mbezi au Bahari Beach? Hujui kuna sehemu zingine nzuri kama Capri Point? Na umeshawahi kufikiria kuwa na nyumba New York, Washington DC na London? Au mawazo yako ni ya ku-think locally tu? Na hapo kwenye bold nikugegede au tunagegedana? Kwani nani hatumiki/hapati raha kwenye hilo tendo?
 
Natafuta msichana wa ku-spend naye sikukuu hizi, yaani kuanzia tarehe 24 December, 2012 hadi tarehe 02 January, 2013. Sifa zake ni:-

  1. Awe mrembo na wa kuvutia
  2. Umri kati ya miaka 18 - 25
  3. Asiwe mnene wala mwembamba sana
  4. Awe tayari kupima afya kwanza
  5. Kama atafurahia na mimi nikavutiwa naye basi tunaweza kuendelea na mahusiano hata baada ya hapo

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo vyote basi ani-pm. Kwa wengine wote nawatakia sikukuu njema na tukutane tena hapa mwakani.
Hili boyaaaa umekosa wanawake huko mtaaani hadi uje hapa??
 
Hahahah hasira za nn? Mie natoka na mtu mwenye vigezo nilivyotaja,huko newyoku ama capripoint au paris ni maamuz ya mtu kuamua...kama vigezo unavyo niPM bt ka hela za mawazo potezea
Utabaki hivyo hivyo hadi mwisho wa dunia. Wee unaona maisha ni kuwa na nyumba Masaki, Mbezi au Bahari Beach? Hujui kuna sehemu zingine nzuri kama Capri Point? Na umeshawahi kufikiria kuwa na nyumba New York, Washington DC na London? Au mawazo yako ni ya ku-think locally tu? Na hapo kwenye bold nikugegede au tunagegedana? Kwani nani hatumiki/hapati raha kwenye hilo tendo?
 
watoto waDAWG mnamatatizo kweli, Sasa ndio nini KuPOST Pumba humu, Peleka Jf-Chit Chat Au Fesibuku kwa Watoto Wenzio Bhana. Hela za Mawazo Zinashida Kweli
 
mh, secret admirer unapenda 6 pack, i got 12 packs, 6 on both sides, so SEXY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom