ommytk JF-Expert Member Jul 30, 2015 482 1,053 Jul 30, 2020 #1 Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane. Toyota Cami GearBox
Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane. Toyota Cami GearBox
Ettore Bugatti JF-Expert Member Aug 28, 2017 4,125 8,231 Jul 30, 2020 #2 ommytk said: Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane Click to expand... Nenda maduka ya spare za magari utaikuta hiyo gia box.
ommytk said: Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane Click to expand... Nenda maduka ya spare za magari utaikuta hiyo gia box.
Lyamber JF-Expert Member Jul 24, 2012 11,716 18,753 Jul 30, 2020 #3 Kwani hio gia box iliopo humo kwenye gari ina tatizo gani?
S Stayfar JF-Expert Member Jan 11, 2016 1,067 2,222 Aug 5, 2020 #4 Nenda ilala kwa wapemba,mtaa wa Songea
Obama wa Bongo JF-Expert Member May 10, 2012 5,415 4,869 Aug 7, 2020 #5 tuwasiliane inbox nina gari cami naiuza