i411 JF-Expert Member Mar 23, 2011 907 292 Mar 10, 2016 #1 Natafuta kama kunamtu anajua gharama ya tanesco kuzalisha umeme hapa bongo kwa kutumia mitambo yake. Wakitumia mafuta, gas, maji au makaa ya mawe
Natafuta kama kunamtu anajua gharama ya tanesco kuzalisha umeme hapa bongo kwa kutumia mitambo yake. Wakitumia mafuta, gas, maji au makaa ya mawe
babatovu JF-Expert Member May 5, 2014 2,739 1,601 Mar 10, 2016 #2 Subiri hapohapo wanakuja wenyewe muda si mrefu...