Kaka, unataka generator ya watts 7,000 mpaka watts 17,000? Unataka ku power kitu gani, kiwanda cha simenti?Natafuta gereator 7kva - 17kva
kuna sehemu wanauza kariakoo
Kama bado tunala la KV 20 limetengenezwa mwaka 2010 na company ya National ya Japan limefanya kazi masaa 24 tuOk nashukuru kwa ushauri