Natafuta genuine Nokia 95 8GB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta genuine Nokia 95 8GB

Discussion in 'Matangazo madogo' started by BabaDesi, Jul 6, 2010.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimepata maumivu baada ya kuisahau mahali kwa sekunde chache simu yangu ya Nokia 95, niliyokaa nayo kwa miaka minne na niliyoipenda sana hasa kutokana na camera yake ya 5.8 pixels, ikapata 'Muwekezaji'!

  (Napinga sana Vibaka kupigwa kiberiti lakini huyu, ningechangia petroli!)

  Anyway, Ninaomba kujua ni wapi ninaweza kupata genuine Nokia 95 8GB na bei yake. Natanguliza Shukurani.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,010
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Pole sana. Natumia simu kama hiyo, it is one of the best phones Nokia has ever made. Ni PM tuone kama ninaweza kukusaidia.
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu Dingswayo, Nashukuru kupata shabiki mwingine wa Nokia95. Hii simu kwa kweli walijitahidi. Nimeku-pm. Lete maneno!
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Pole sana kaka! Hatamimi natumia simu kama hiyo mara kuiona dukani ilikuwa 6,50,000/=. Iwapo utapata nyengine ni PM kuna software unatakiwa u install kwenye simu yako kama mwizi au alieikona sio mtaalam, kuna 75% ya kuipata simu. Niliitumia software hiyo kwenye my old phone nokia n70. Baada ya siku 6 simu ilipatikana.
   
 5. a

  altaaf Senior Member

  #5
  Jul 7, 2010
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mpenzi wa N95 8GB NINGEPENDA KUKUSAIDIA KAMA UPO SERIOUS NA HII SIMU NIPO NAYO KARIBU NAMPYA MIMI SIKUIPENDA KUTOKANA NA UNENE WAKE NIMEIWEKA TU NATEGEMEA KUSHUKA BONGO TAREHE 20 MWEZI HUU WEKA LAKI NNE TU KWA AJILI YA POCKET MONEY YANGU NIKUACHIE SITANII .IPO NA GENUINE LETHER CASE ,HEAD PHONE , ORIGINAL CHARGER NA CD BOX SITABEBA KAMA UPO SERIOUS WEKA NO YA SIMU :pound:
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  BinMgen, Nimeshukuru kwa ushauri wako. mara tuniikishika mkononi nitakuPM unipatie hiyo software. Naiona ni muhimu sana. Roughly, inafanyaje kazi? Inatoa aina fulani ya signal kila ilipo ama?
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Nimekusikia Mkuu! Namba ya Simu hiyo hapo....!:pound:
   
Loading...