Natafuta Genuine CD ya Microsoft Windows XP.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Fully licensed.

Mwenye nayo aseme.

Magumashi nitajua kwa sababu hata mimi ni mtaalam vilevile.

Lazima ipite phase ka dhaa za uhakiki kabla ya kukupa mpunga wako.

PM me
 
kama comp yako huiungi kwenye net bora utumie ya magumashi, mie ninalo gumashi la xp service pack 2.
 
kama comp yako huiungi kwenye net bora utumie ya magumashi, mie ninalo gumashi la xp service pack 2.
Unatumia tu,mie mbona natumia xp service park3 na ina dunda tu kwenye net?,cha maana una disable window automatic update!,na usi update chochote from microsoft!!!!
 
kaka kama unataka hiyo nitakupa namba ya Bill Gates maana he is the only guy under this sun aliyenayo... the rest ni-magumashi.... ahahaha... subiri nampigia kumwambia unataka ile original yake aangalie mambo ya copyrites yamekaaje... si unajua anaweza kuwa alisha-mrithisha mkewe melinda...ahahaha
 
why do you need original (anyway you can order from microsoft website) or you can download it and they will give you the certicate that wil be genuine
 
i have, 64bit sasa sijui kama itakufaa? Mashine yako ni aina gani? Dell,Toshiba, ..........HP?
 
Back
Top Bottom