Natafuta gari ya mizigo ya shambani isiyozidi 20M

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Habari?
Nataka gari ya kubebea mizigo ya shamba, kama mbolea , magunia ya mahindi nk kwa bajeti isiyozidi 20M . Naweza kupata gari gani? Napatikana Tunduma , songwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pls nami natafuta Canter Tiper yenye vigezo vifuatavyo
Injini: 4D33 au 4D35
Uwezo: Tani 2 au zaidi
Mwaka: 1995 kupanda juu
Spring: Pote ( mbele na nyuma). Iwe inabebea juu nikimanisha spring ziwe juu ya axle na sio chini.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom