Natafuta gari ya kuendesha kama uber driver

hakiba

Member
Jun 1, 2021
19
75
Salaam wakuu.

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber.

Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980.

Shukran.
 

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
3,805
2,000
Mkuu tatizo lenu nyinyi ni uaminifu mnazingua sana idara hyo
 

kipese0306

Member
Feb 10, 2014
38
95
Habari za asubuhi ukikutana na mtu ndo utajua uwaminifu kwake nakupitia profile yake ya uber/bolt mwenyew nina umri wa miaka 31 na nafamily natafuta gari ya pia kwajili ya shughuli hizo. tukionana ndo utajiahakikishia kama gari yako itakuwa salama no 0715715385
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom