Natafuta gari suzuki sj410,413,415 old model hardboard yenye hali nzuri

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
NATAFUTA GARI SUZUKI SJ410,413,415 OLD MODEL HARDBOARD YENYE HALI NZURI Tafadhali naomba msaada wenu sio VITARA wala ESCUDO Iwe SAMURAI old model
 
mkuu chukua mkwanja wako
zama zenji tafuta jamaa wako waaminifu kuna gari nzuri tu ingawa ningekushauri ununue mpya kama ingewezekkanaa
ila kutokana na wakina rostam kukaba kila kona nendazenji mkuu ushauri

AKUOMBAE LIFT USIMNYIME!!
 
niko kariakoo dar gari iwe haijawahi kuchomwa bodi wala kunyooshwa 022-2180274
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom