Natafuta gari suzuki old model yenye hali nzuri

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
Natafuta gari suzuki old model hardboard yenye hali nzuri iwe van milango miwili hata pickup yake
 
mi nauza ni suzuki vitara sport, haijawahi kuguswa kwenye engine, gear box kiufupi ni nzuri, tunaweza kuwasiliana kwa 0713 362898!naishi dar es salaam tanzania!
 
Mhhhhhhhhhhhh! Mtaibiwa hela bure ndugu. Kwa wale mnaoagiza magari japani, iepukeni kampuni inayojitanganza kwa web hii: Impreza Used Cars 41export.com. Owner wake anaitwa Akihiro Kainuma na kuna watanzania anaowatumia pia kwa kuwasiliana na wabongo wanaotaka magari toka kampuni hii. Jamaa ni tapeli hamna mfano, so watch out, utalizwa ujute milele. Ameshawaibia watanzania wengi mpaka sasa.
 
Anayetaka gari akiwa na nia ya gari atapata labda awe si mnunuaji!gari analotaka mi ninalo na nimempa jinsi ya kunipata!unless awe si mnunuzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom