Natafuta gari RAV 4 au Suzuki kuanzia mwaka 2000

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wanajamii nawasalimu...!

Ninatafuta gari ya kununua aina ya RAV 4 au Suzuki ya mwaka 2000 na kuendelea...! Iwe kwenye hali nzuri....! Nitapendelea kama muuzaji atakua hapa Dar es Salaam...!

Naomba uni PM au unitumie namba yako ya simu ili nikupigie endapo unayo...!
 
Back
Top Bottom