NATAFUTA GARI MARK X

11 m naona kama bajeti ndogo mkuu.Kwanini usijivute juu kidogo ukapata gari nzuri?
 
Unatafuta gari au dalali wa magari maana kama unatafuta gari maduka ya magari huya onagi humo njiani au jeuri tu
 
Gari hilo hata ukipata kwa bei hiyo matengenezo yake utayaweza? Maana ukiona linauzwa 20m+ ujue matengenezo yapo juu pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom