Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

Si
We kama sio dereva wa online huwezi kunielewa kwahyo usiwe unatoa hukumu tu na kukimbilia ni utapeli
Siyo suala la udereva wa online, ni suala la namna unavyotaka kuwa MTU WA KATI kwa hao madereva wa online (mtandaoni)! Hiyo ndiyo hoja na namna unavyotaka wakutumie wewe kujiandikisha huko linkee ili upige pesa. Wacha hizo kiri 12!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom