Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

Kuna gari la hesabu na gari la mkataba Kila gari Lina utaratibu wake kwenye jambo la service kulingana na mashariti mliokubaliana
Sasa mahesabu ya gari la hesabu yakoje na mahesabu ya gari la Mkataba yakoje. Naomba msaada hapa
 
Biashara hii kea kweli imekuwa ngumu, mimi nina gari yangu na nimefanya Sana lakini faida hamna zaidi ya kuchosha gari.

Uber wanadai 25% ya trip kwa maana trip ya 10000 wao wanataka 2500. Hvyo bas unawekewa deni kwenye mtandao ulipie kwa tigo pesa.

Bolt wanadai 11% kwa trip nao huweka deni na unapaswa kulipa

Unaweza kutumia app zote uber na bolt at the same time na ukawa na made I kote, hivyo bas kazi unaweza fanya mfano ya laki moja kwa siku utoe mafuta ambayo ni 40,000 utabaki na 60,000. Utoe madeni ya uber na bolt unaweza kuta uber wanakudai 16,000 na bolt 8,000 mpaka 12,000 hvyo bas 60,000 toa 20,000 mfano unabaki na 40,000. Hapo hujala, hujaosha gari, hujanunua maji, traffic bado. Toa 10,000 kwenye hyo 40,000. Unabaki na 30,000 ndyo net profit.

Hesabu ya boss ni 20,000 mpaka 25,000 kwa siku.

Ili upate hela hyo lazima utembee kilometer si chini ya 250 mpaka 300 kwa siku.

Faida kwa mwenye gari atapata hesabu ya si chini 150,000 kwa week ni nying lakin gari inaumia Sana na huchoka kutokana na dereva.

KWA mwezi ni kama 600,000 inaenda kwa tajir toa service ya oil Mara 2 kwa mwezi 65,000 Mara 2 ni 130,000. Hivyo net huwa ni 470,000 kama gari haina tatzo jingine.

Ili dereva afikishe hesabu lazima afanye kaz twice a day ambapo wengine hutoa deiwaka (day worker ) kwa marafik ili wapate chochote kufidia hesabu na mafuta.

Unayetoa gari na dereva pia ni vizur kuangalia maslah pande zote mbili na kuridhiana. Binafsi gari nimepaki otherwise nipate kazi maalum lakin sifanyi uber mpaka warekebishe viwango vya malipo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Shukran sana kwa ufafanuzi huu.
1. Naskiaga minimum cc za gari inatakiwa iwe 1300. Hii ina saidia nini kwa dereva na boss. Mfano gari lenye 990 cc.
2. Ni service zipi zinamuhusu Tajiri na ni zipi zinamuhusu dereva.
3. Mfano mtu anaweza akawa na account zaidi ya moja? Yaani uber, bolt, ping, little ride n.k dereva anapokua na account zaidi ya moja au zaidi ya mbili, mahesabu yanakuaje kwa tajiri.
4. Katika kuandikishana dereva na tajiri, ni vipengele ganivya msingi vya kuzingatia? mfano mashahidi, s/mtaa n.k
5. Kwa uzoefu wa wadau, ni njia ipi nzuri kwa dereva na tajiri; gari la Mkataba au gari la hesabu kila wiki?
 
0628729873 natafuta Gari y hesabu kwa weeek
au mkatabaa
at ikiwa plate no y njano au nyeupe nipo tayari
 
Kuna gari la hesabu na gari la mkataba Kila gari Lina utaratibu wake kwenye jambo la service kulingana na mashariti mliokubaliana
Agrey Sylivester mbona hujibu maswali unayoulizwa!? Yajibu kwa faida yetu sote. Umesema una uzoefu wa miaka miwili, tell us your EXPERIENCE Agrey. Vinginevyo kila mwenye nia ya kusaidia au kujua suala hili atakuja na maswali, maswali kila wakati. Sasa, gari ya mkataba inakuwaje - malipo, muda wa mkataba na hiyo ya siku au wiki inakuwaje? Funguka. Mimi nina hamu ya kuingia kwenye biashara hii ya gari; kwa sasa nina Bajaj na dreva kajiunga Bolt na Uber kama njia ya kupata pesa za mkataba wetu wa Bajaj. Nasubiri.
 
Biashara hii kea kweli imekuwa ngumu, mimi nina gari yangu na nimefanya Sana lakini faida hamna zaidi ya kuchosha gari.

Uber wanadai 25% ya trip kwa maana trip ya 10000 wao wanataka 2500. Hvyo bas unawekewa deni kwenye mtandao ulipie kwa tigo pesa.

Bolt wanadai 11% kwa trip nao huweka deni na unapaswa kulipa

Unaweza kutumia app zote uber na bolt at the same time na ukawa na made I kote, hivyo bas kazi unaweza fanya mfano ya laki moja kwa siku utoe mafuta ambayo ni 40,000 utabaki na 60,000. Utoe madeni ya uber na bolt unaweza kuta uber wanakudai 16,000 na bolt 8,000 mpaka 12,000 hvyo bas 60,000 toa 20,000 mfano unabaki na 40,000. Hapo hujala, hujaosha gari, hujanunua maji, traffic bado. Toa 10,000 kwenye hyo 40,000. Unabaki na 30,000 ndyo net profit.

Hesabu ya boss ni 20,000 mpaka 25,000 kwa siku.

Ili upate hela hyo lazima utembee kilometer si chini ya 250 mpaka 300 kwa siku.

Faida kwa mwenye gari atapata hesabu ya si chini 150,000 kwa week ni nying lakin gari inaumia Sana na huchoka kutokana na dereva.

KWA mwezi ni kama 600,000 inaenda kwa tajir toa service ya oil Mara 2 kwa mwezi 65,000 Mara 2 ni 130,000. Hivyo net huwa ni 470,000 kama gari haina tatzo jingine.

Ili dereva afikishe hesabu lazima afanye kaz twice a day ambapo wengine hutoa deiwaka (day worker ) kwa marafik ili wapate chochote kufidia hesabu na mafuta.

Unayetoa gari na dereva pia ni vizur kuangalia maslah pande zote mbili na kuridhiana. Binafsi gari nimepaki otherwise nipate kazi maalum lakin sifanyi uber mpaka warekebishe viwango vya malipo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Karibu kwenye huduma mpya ya usafirishaji inaitwa linkee kujisajili ni Bure na Haina Makato yoyote kwa kipindi cha miezi SITA, kwahyo hela utakayopata yote ni yakwako hakuna kuilipa kampuni kwa kipindi cha miezi SITA yote,

Halafu pia unaweza kujipangia nauli wewe dereva kutokana na uwezo wa abiria wako, yaani abiria atakutajia bei yake kama ukikubali unampeleka anapotaka, na ukiona kiasi ni kidogo unaweza kumuambia aongeze kiasi kadhaa pia.

Hayo yote unayafanya kwenye app yako kabla hujamfuata abiria.

Karibu zaidi kwa ufafanuzi pm kama ukihitaji.
 
Huo "ufafanuzi zaidi" toa humu humu JF! Huko PM ni ubinafsi tu! Kwenye mambo binafsi and secretive ndio muitane PM vinginevyo weka hapa kila kitu au siyo!?
 
Kuna kampuni mpya ya usafiri inaanza kutoa huduma zake siku za mbele kidogo kama mwezi mmoja baadae, inaitwa linkee, ipo kama Uber, bolt, taxify na zingine zote, asa kwakuanzia inaanza kusajili madereva wote ambao watapenda kujiunga na huduma ya linkee.

Faida zake ni kama zifuatazo:

Dereva atajisajili Bure kupitia hiyo link ya linkee

Hakuna ada au gharama yoyote kwa dereva atakayolipa kwenye kampuni kwa kipindi cha miezi SITA ya mwanzo itakapoanza kutoa huduma zake rasmi

Dereva anaweza kutaja kiasi cha bei kwa mteja wake, hakuna limitation yoyote kwenye makubaliano yako na mteja.

Kutakuwa na zawadi kadha wa kadha kwa dereva watakaojiunga mwanzoni.

Dereva anatakiwa awe na smartphone na bando tu kwaajili ya kutumia huduma hii, kwa wale ambao wameshajiunga na Uber na zingine hapa wananielewa vizuri.

Kwa. Ambaye atakuwa tayari anaweza nicheki pm kwa kunipa namba yake NAMI nitamuunganisha kwenye hiyo huduma.
 
Hapo kwenye sentensi ya mwisho NI PURE UDALALI na ULANGUZI! Watanzania mtaacha lini tabia hii? Shame on you! Nawashauri wenye kutaka kujiunga na hiyo sijui "linkee" wasubiri wakati ukifika mambo yote yatakuwa hadharani, achaneni na "hawa middlemen".
 
Udalali upo? Hii app inampa mteja wa kutaja kiwango cha nauli, kwahyo kama dereva yupo eneo Hilo na kiwango alichosema abiria anaona kidogo anauwezo wa kukwambia aongeze kiasi kadhaa yote yanaonekana kwenye app kabla dereva hajakubali kumfuata abiria wake na ikishindikana anacancel tu, dereva mwingine akiona inamfaa atamfuata ndio hiyo app inavofanya kazi tofauti na Uber ama bolt wanakupangia kiwango cha nauli
 
We kama sio dereva wa online huwezi kunielewa kwahyo usiwe unatoa hukumu tu na kukimbilia ni utapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom