Natafuta Gari dogo IST, Toyota Allex, au Runx

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Kama unayo kati ya hizo gari hapo juu na utaka kuziuza please nipm tufanye biashara nipo Dar.
 
Bajeti yako ???maana kuna siku jamaa aliweka tangazo anaitaji Rav 4,nikamtafuta Pm baadaye akaomba nimtumie picha,kusumbuka kote nikajajua mwishoni kuwa bajeti yake ni 4.5ml !!!!ningejua mapema wala nisingesumbuka..
 
mkuu hilo neno, maana hivyohivyo ilinitokea mimi kusumbuka kote mwishowe ana mil 3. Nilikaa tu kimya
 
Daihatsu boon mpya namba unaweka mwenyewe bei milion 8.2 ni kama passo ilivyo niPM
 
Daihatsu boon ya mwaka gani, odometer inasomaje? CC 990 au 1300?

Mkuu zipo unit 2, colour golden, cc 996, YoM 2005, mileage nitakupa jibu Nicheki documents hapa nipo njiani nikifka nitakuambia
 
Mkuu ni gari aina ya Passo ya mwaka 2005 colour ni pink..nimeshafanya registrations yote na comprehesive insurance juu...unaweza kunitafutia mteja...nipm namba yako nikutumie picha...bei 7.5 mill
 
Mkuu zipo unit 2, colour golden, cc 996, YoM 2005, mileage nitakupa jibu Nicheki documents hapa nipo njiani nikifka nitakuambia
Mkuu nina passo ya mwaka 2005 colour ni pink...nimeshaifanyia registrations na comprehensive insurance Juu..unaweza kunitafutia mteja...bei ni 7.5mill
 
Nimekutana na topic hii nikaona nisianzishe mpya kwa mahitaji haya haya. Mjomba pia anahitaji mojawapo kati ya magari hayo. Rangi iwe nyeusi kijivu au maziwa.Bajeti yake ni 5M hadi 5.3M.

Yupo Dar.
 
Mkuu zipo unit 2, colour golden, cc 996, YoM 2005, mileage nitakupa jibu Nicheki documents hapa nipo njiani nikifka nitakuambia
Suala la Odometer haiwez kuwa document tena. Kwan bado liko bandarini!? Si litakuwa lilitembea kidogo hadi home au yard? Haiwez kuwa sawa na kwenye document!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom