Habari za leo,
Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series
Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2007
Engine isizidi 2500Cc
Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa ninasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi.
Bei yake iwe rahisi na sihitaji dalali.
Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu aje PM tuwasiliane!