Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.

JAY-JOE

Member
Sep 2, 2016
18
7
Habari za leo,

Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series

Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2007

Engine isizidi 2500Cc

Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa ninasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi.

Bei yake iwe rahisi na sihitaji dalali.

Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu aje PM tuwasiliane!
 
Ukisema bei rahisi utaletewa kimeo kama vipi jichange vizuri usiwe na haraka sana ya kumiliki hiyo,
Nimetokea kuipenda sana hiyo ndinga ndiyo maana nimeamua kujichanga mdogomdogo ili niuze carina yangu niongezee pesa ya kumiliki mashine ya Crown
 
Hizo Toyota Crown Athlete ni gari za Patrol (Police) na Taxi Japan.
Tokyo_Metropolitan_Police_Department_Toyota_Crown_Patrol_Car_GRS214_rear.jpg
 
Mwenye hela ananunua Crown ya 2000 USD? Sasa anaenunua BMW 7 Series 81,000 USD Huyo asemeje? Mind u zote ni Sedan.
Hizo bei umezitoa wapi boss?

Kule Be forward minimum price ya Crown athlete 2004 model ni $4077 wkt bmw 7 series model ya 2005 minimum price wanauza $3,605.

Tena sijataka kulinganisha na crown majesta za miaka hio hio ambazo ni expensive kuliko hio bmw 7 series za miaka inayofanana.

Resale value za bmw/mercedes ni sawa na bure.

toyota majesta 2019 price yake kwa zenye Cc2500 ni $ 66,700 wkt zenye cc3500 ni $69,700

Bmw 7 series 2019 price yake:kwa 740i ni $83,650 na kwa 750i ni $96,950.
 
Back
Top Bottom