Natafuta gari aina ya Noah

B40

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
820
536
Wakuu shikamooni,wadogo marhaba.

Jamani mwenzenu nina kahela kidogo, sasa nawaza cha kufanya. Kwanza niliwaza kujenga chumba na sebule ila nikaona labda niiwekeze katika biashara ili izae ndio nijenge. Hela nimerithi, nimefikia hitimisho ninunue Noah ili niitumie katika biashara ya usafiri.

Kama kuna mtu anajua ninapoweza pata Noah ya bei nafuu yenye hali nzuri anisaidie.
 
Ingia kupatana.com utapata za kila hali na kila bei...but kua makini mdalali wa uongo ni weng ckuiz..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Agiza from Japan kabisa kama uko arusha tuwasiliane please. Unanunulia from tradecarview nimeshanunua Gari zaidi ya 5
 
Ninazo kadhaa ambazo zimeshasajiliwa na kitumika kiasi na ambazo bado hazijatumika kabisa BONGO.
BEI: 14.5-13Mil.

Ubora utafurahi mwenyewe.

Nitafute kwa hii au kwa shida yoyote nyingine inayohusu kuuza, kununua Mali au Biashara yoyote nyingine : +255-714-591548.
 
Back
Top Bottom