Natafuta gari aina ya funcargo!!

Na mimi nataka kupata ufafanuzi wa gari ndogo iitwayo Duet ubora na udhaifu wake. Nataka kuinunua kwa sifa ya matumizi madogo ya mafuta, je ni kweli?
Iko vizuri hizi gari ingawa wengi wanaziponda, mimi ninayo mwaka wa tano sasa sijabadili injini na nishasafiri nayo sana Tanga na Arusha iko vizuri tu cha muhimu badili tairi na rim ufunge size 14 na mafuta tumia yasiyochakachuliwa mimi huweka vituo vya total pekee, na kuhusu ulaji wa mafuta gari kama mpya inaenda hadi km ishirini na tatu kwa lita moja
 
Kwani kubadili engine kwenye kila Funcargo ni lazima ndani ya miaka mitano!
 
Funcargo ...the best car KATIKA gati hizi ndogo inaspace kubwa sana ndani .... Kuliko hata IST .......Bora funcargo kuliko port au sienta even vitz ...Mimi binafsi Nina Funcargo naipenda sana ... Pia itambuliwe kila mtu ana intrest yake hata ukimiliki Hammer inachangamto zake so kisikutishe kitu as long as spear zipo nyingi za Toyota tena Affordable ...usiogope kabisa
 
Funcargo huwezi kuifananisha na porte au sienta kwa uimara wa body, hii body yake ni ngumu kama probox na mafuta inakula vizuri mno
 
Kweli kabisa Mkuu ... Funcargo Ina body ngumu na oil consumption fresh kabisa
 
Funcargo, vits, passo hzo gari za Dada zetu na mama zetu hivi kweli mwanaume mzima unakwenda kwa wakwe na gari Kama hzo daaaa, tutafuten hela wakuu.
 
Funcargo huwezi kuifananisha na porte au sienta kwa uimara wa body, hii body yake ni ngumu kama probox na mafuta inakula vizuri mno
Fun Cargo ikianza kulegea body haitazamiki 😂😂😂 kwangu mie naona gari nyanya sana hio
 
Funcargo ...the best car KATIKA gati hizi ndogo inaspace kubwa sana ndani .... Kuliko hata IST .......Bora funcargo kuliko port au sienta even vitz ...Mimi binafsi Nina Funcargo naipenda sana ... Pia itambuliwe kila mtu ana intrest yake hata ukimiliki Hammer inachangamto zake so kisikutishe kitu as long as spear zipo nyingi za Toyota tena Affordable ...usiogope kabisa
Acha kuilingakisha SIENTA NA FUNCARGO , HUO UTUPOLO ENDELEA KUJIFARIJI TU KA GARI KANA SURA MBAYA HATA UKWENI HUWEZ KWENDA NAKO

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom