Natafuta future wife

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
475
88
Hbr za leo Wana jforum!!
Natafuta mke,awe
Elimu;diploma and above
Umri:miaka 34 au chini
Dini.mkristo
Kabila: lolote
Nb akiwa na watoto au mgumba ni sifa nyongeza!!
Sifa zangu
Mi Nina watoto wawili
mwajiriwa serikalini
Miaka 35
Dini;mkristo
 
Kuna uzi ulisha wahi andika una mke ....
Kuna uzi mwingine tena ukandika una tafta wife ...
Leo tena una tafta wife ....
Mkuu bado tu hujapata au basi tu unafuruhisha jamvi .... au dini inaruhusu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom