Habari wana JF
Tv yangu Samsung Plasma Model PS -50Q96HD imepata hitilafu
Sauti inatoka lakini screen ni blank kabisa hakuna picha.
Ni ya mwaka 2008 so haina warranty.
Nadhani ni tatizo la power supply.
Nahitaji msaada wa fundi mwenye weledi please.